TANZIA Sophia Leone afariki dunia

Kuna wakati Hawa watu Mzee wa kupombania,Deep Pond na Drone drake Huwa wananishangaza sana kuhusu kuwa kwao deep kwenye mambo ya minyanduano na kuwajua mastar wengi sana duniani wanaojihusisha na filamu za X.

Kama hizi IDs siyo za mtu mmoja,basi mpewe crown 👑 ya mizagamuo humu ndani. Mnajua mengi sana na mko deep.
 
Achana na fani za watu, hao ndio wake zao kihisia, akiiangalia hiyo video ya XX ghafla anakimbilia bafuni kujihudumia 🤣🤣
Nasikia dronedrake ana mkono mmoja mnene zaidi kwa ajili ya kazi ya self service😂
 
Kuna siku nilikuwa napiga story na wajeruman ikaja mada waigizaji wa porno ambao walikuwa too good looking to be in porn. Aisee kuna watu wanajua mastaa wa porno kama wabongo tunavyojua wachezaji wa mpira na hapo ni watu wenye heshima zao na wana familia. It was a huge cultureshock ndio maana hii mitandao ya porno inaongoza kwa internet traffic lakini hakuna mtu anaekubali kuwa anaangalia porno.
 
Mwanatasnia inamaanisha nini boss wangu?

Tasnia ya udaktari? Kilimo? Uhandisi? au ipi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…