S Sijapewa username bado JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 1,775 Reaction score 2,891 Jun 29, 2025 #1 Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Rungwe kupitia CCM. Pia soma Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda atangaza kuhamia CCM baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 12, Asema yupo tayari kuungana na Rais Samia Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi na CCM
Siku chache baada ya kutangaza kuhamia Chama Cha Mapinduzi, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Sophia Mwakagenda leo Juni 29, 2025 amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge katika Jimbo la Rungwe kupitia CCM. Pia soma Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda atangaza kuhamia CCM baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 12, Asema yupo tayari kuungana na Rais Samia Pre GE2025 - Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi na CCM
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 29, 2025 #2 Sawa sawa
Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,403 Reaction score 4,362 Apr 28, 2026 #3 📌Planet Data bundles was Here