kuna chati nyingine mtu akipanda inabidi utikise kichwa; na kuna chati nyingine mtu akipanda unaombea abakie huko huko! Na zipo chati nyingine mtu akitajwa kuwa yumo hata katika nafasi ya mwisho ni huzuni kwa wote wamjuao. Na zipo zile ambazo hata hazistahili kuwepo.
Aliyoyasema SS yana UKWELI wowote? Naona waliosemwa hawajakanusha wala kutishia kwenda mahakamani! Naamini shutuma/tuhuma zile zingeelekezwa kwa akina RA, EL,....thread zingejaa humu.