Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
hana ampate wapi? kwani wanaume unawaona ni wajinga sana, ni shangingi tu kila aombae hupata, so hana la kutuambia sisi wanandoa kwani ndoa haijui
Labda sio mama yoyoo wangu!Kila nikifikiria hii kauli ya huyu mbibi naona si tu alikuwa anawaingiza wanawake wengine kuwekewa nyumba ndogo zisizo na ulazima na waume zao bali alikuwa anawadanganya pia ....Wanawake wanyimeni unyumba waume zenu kama watawaunga mkono wapinzani: Sofia Simba. swali la msingi sana JE YEYE ANAMUME?
kwa kweli huyu mama wakati mwingine huwezi kuamini ni msomi wa kiwango chake. Full micharuko mdomoni kama vile yuko kwenye rusha roho ama shoo za "laki si pesa na kitu T"