Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

hao wote watarudi tena kwa sababu wanatambuliwa na yule rafiki yake lipu
 
Hahaaa. Jamaa kweli kunguru. Yaani mapema namna hiyo kashaanza kujihami!
 
Ni vyema kama wamesafisha shamba,wasiwasi je wameng'oa mti na mzizi wake au wamekata mti tu baadae mizizi itachipua!
 
Unaonekana una roho nyeusi kweli kweli. Maamuzi yaliyochukuliwa bado tu unalialia? ????
 
Kama dikteta uchwara mbowe na lisu walivyong'ang'ania chadema na hawataki kusikia, neno lolote la kuwapinga kutoka kwa watu kama wewe BAK, jaribu uone chamtemakuni kilichomtoa kanga manyoya!
 

Nashukuru naanza sasa kupata Warithi wangu a.k.a Team Gentamycine kwa kuigwa kila kitu changu. Safi sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


 
Chadema kinawahisu
 
we ndio bwege kweli jana Lema kafanya mkutano vizuri kwa Amani mbona hajazuiwa?Mbowe anamiliki gazeti anashindwa kupeleka matamko yake huko? CHADEMA mmeshindwa kufungua hata website ya chama
 
Tatizo lako Mbowe wala Lissu hawajafanya udikteta ili wagombee urais kama malaika Mkuu. Hili hutaki kuliona Angalia jinsi MACCM yanavyohaha kuisambaratisha CUF kupitia pandikizi propesa lipumba. Ndani ya Chadema wameshindwa kulifanya hili la kuisambaratisha. Tafakari kwa kina usikubali kuidumaza akili yako.

Kama dikteta uchwara mbowe na lisu walivyong'ang'ania chadema na hawataki kusikia, neno lolote la kuwapinga kutoka kwa watu kama wewe BAK, jaribu uone chamtemakuni kilichomtoa kanga manyoya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…