Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

Mzee wa kupewa ONYO KALI sasa apewa RUNGU RASMI.
 
Muda ni mwalimu mzuri saana

Kazi kwenu nyote team JPM na Msoga ,mnapaswa kwa sasa muwa na heshima kwa katibu mkuu
 
Kinachoendelea CCM kinaweza kuipeleka hii nchi kwenye vita.

Ni mambo yanaenda yanarudi ila yana picha yenye ukakasi hasa haya makundi yanavobadilishana madaraka kwa hila
 
Kinachoendelea CCM kinaweza kuipeleka hii nchi kwenye vita.

Ni mambo yanaenda yanarudi ila yana picha yenye ukakasi hasa haya makundi yanavobadilishana madaraka kwa hila
Chama Cha Ajabu Sana
Kimeduwaza Watu
 
Wazungu wana msemo wao usemao’Curiosity killed the cat’ haya mambo ni vyema kuuachia muda uamue 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…