Hahaaha! hapo vipi tena.
Ki masingi, huyu mama ni kinara wa kukurupuka na kusimamia hoja chovu! ni mwanasiasa uchwara kabisa na amabaye anategemea fadhila za mkulu.
Ni mama mwenye haiba kubwa ya uongozi na mwenye kusimamia kile anachokiamini.Ukiachilia chuki na majungu huyu mama huwa siyo mnafiki hata kidogo, akikereka tu anayesema aliyo nayo moyoni mwake.