Sorry madam (Destination of my enemies)

asanteeee!mbona ile story ya aisssii u kill me imepotea jaman mkubwa
ilihamishiwa jukwaa la mambo ya wakubwa inaendelea kule.. ili kuipata unatakiwa uombe access kwa invisible mtumie msg Pm..
 
wale wa sex slave imehamishiwa jukwaa la entertainment
 
moderator na hii ihamishiwe entertainment
 
um
umechanganya mafaili
 
Habari Wana jf
Nilikuwa nimenyuti siku 2 hizi nikiwa nasoma hadithi ya "SORRY MADAM"
Hadithi ni tamu sana ile hongera zako mtunzi
Mimi ni mpenzi mkubwa Wa hizi story za kusisimua na machombezo ya kila aina Naomba mnitajie blogs ambazo naweza kuingia na kusoma hizo hadithi
Samahani kwa usumbufu
 
Ubuyu blog story ya sorry madam orijino ipo huko saiv ipo part two

Ila namlaumu sana huyu anayeiiba hii story na kuileta huku sio vizur anavyofanya kapunguza sana moral ya mtunzi,zaman kwa wiki alikua anaweka mara mbili au tatu siku hizi anaweka mara moja tu.

Kuna blog nyingine ya hadithi na akilimani ipo vizuri.
 
Asante mkuu ngoja nitembelee nikafaidi uhondo
 
Hunishindi mm yaani siku mbili nimeisoma mpaka macho yananiuma big up mtunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…