Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Wakuu kwema?
Leo nataka nikufundishe kuiandaa sos ya nyama kwa kabla hujaichoma aidha mishkaki au aina yoyote ya kuchoma au kukaanga (fried). Code tunazotumia ni product maujanja ya ya kiczech na swahili food.
Maandalizi
Maji lita 1.5
Chumvi kijiko 1
Sukari kijiko 1
Karafuu gram 1.5
Pilipili manga
Majani -pwani ( bay leaf)
Tangawizi ya unga kijiko 1
Kitunguu swaumu nusu kijiko.
Papai lililoiva kias
Karoti.
Mamacita
Olive oil
Hoho na pilipili mwendo kas
Mdalasini na iriki kijiko kimoja tu.
Uandaaji.
×××××××××××
Kata nyama katika vipande weka pembeni.
Saga karoti na papai hakikisha havizidi vijiko vitatu kwa kila kilo moja. Tia mama cita kijiko kimoja weka pembeni. Kata hoho na pilipili changanya isiszidi vijiko vitano
××××××××××××××
Chukua maji weka katika sufuria
Weka majani ya bay. Weka tangawizi weka jikoni. Kila baada ya dakika mbili ongeza recipe moja wapo.
Kisha baada ya spice zote kuchanganwa ndani yake koroga maji hayo kwa muda wa dakika 5.
Hapo utapata maji yenye rangi ya kahawia iliyokooza yanayonukia haswa.
××××××××××××
chukua nyama yako ibambike humo kwa muda wa lisaa limoja tu. Zitoe zicjanganye na mchanganyiko ya papai, hoho na pilipili na mamacita. Changanya.
××××××××
Toa nyama zako zipake olive oil. Choma.
Karibu tujadili.