comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Jana kaimu mkurugenzi wa Bugando amepinga MWANO kuwa anaupungufu wa mitungi ya kutunzuia na kugawia hewa ya oksjeni kwa wagonjwa ambao kwa madai yake anasema wameongezeka.
Mkurugenzi huyu akubali kuingizwa kwenye orodha ya wauwaji kwa sababu zifatazo:-
1. kama mwaka mmoja uliopita akikataa kuidhinisha ununuzi wa mtambo wa kufua gasi ya oksjeni na mitungi yake
2. mitungi ya kutunzuia na kugawia hewa ya oksijeni inauzwa dola 250 ambao ni sawa na kiasi anachowatoza hao wagonjwa anaodai wameongezeka na wengi wao wana uwezo wa kulipa.
3 ameleta taharuki ambayo angekuwa anajali angeweza kuiepusha kwa kuidhinisha ununuzi na ufungaji wa mitambo hiyo ya kufua gasi ya oksjeni na mitungi yake .
Hajachelwa kwa taarifa nilizo nazo mitambo hiyo ya kufua gasi ya oksjeni na mitungi yake ipo na inaweza kufungwa ndani ya siku zisizo zidi tatu na kuokoa maisha ya watanzania wasio na kosa.