SOS: Kaimu Mkurugenzi wa Bugando ujiuzulu kwa uzembe na mapuuza

Yaani Tanzania tuna tia aibu tumekuwa na Corona zaidi ya mwaka kwanini mpaka leo tunatatizo la mitungi ambayo kila mtu anajua ni njia ya kujihami na kuokoa maisha kwenye janga hili
Sisi hatuna corona tuna changamoto ya upumuaji pekee
 
Naona umeamua kupiga kwenye mshono
 
dharura gani wakati huu ugojwa ulikuwepo kwenye Dunia hii kwa zaidi ya mwaka! Yaani tumeshidwa kutengeneza mitungi!
Nawe ulikuwepo ndani ya "dunia ya Tanzania"; au umetoka juzi kwenye hiyo dunia nyingine kabla ya Magufuli hajatoka kwenye dunia ya Tanzania?
Ungekuwa kwenye hiyo dunia ya Magufuli usingeandika hayo uliyoandika hapo. Labda uwe na sababu nyingine!
 
Mkuu kufa kufaana miye upepo umepita karibu yangu tu sihusiki kwa lolote. BTW biashara yako ya barakoa inaendaje?
'Stock' iliyopo sasa ni nzuri kabisa. Niulize swali hilo wiki mbili tatu zijazo, jibu lake nitakuwa nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…