Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
HABAR ILIOPO MANCHESTER
Sosha kaambiwa ajiuzulu ila hataki na sasa yupo kwao ila kuna kijambo kinaendelea pale OT
Game ijayo ya jmosi dhidi ya Watford mashabiki wataandamana ili game hiyo isichezwe wamekubali hata Watford wapewe points ilimradi tu sosha aondoke
Mpaka sasa manchester wanawatag makocha watatu 1zizu 2 Eric hag 3 Luis Enrique
Rio Ferdinand yuko tayari katika maandamano hayo kuungana na mashabiki ili kuinusuru manchester na kufukuzwa kwa ole
Kwa upande mwengine Edwoodward anaweza asiwe na cheo chake huenda kikachukuliwa na mtu mwengine
Kwa upande Edwin van dar Sar anaweza Kuja United kuwa mzee wa kuleta vipaji pale OT
inawezekana sosha asirudi Tena kwa taarifa zilizopo timu sasahivi yupo nayo Michael Carrick mpaka watakapoamua yao maana mashabiki washasema wataandamana na ndo mana Sosh yupo pembeni kwanza anasikiliza upepo
Hayo ndio yaliopo ila naamini kila mmoja wetu humu anatamani ifike siku ya jmosi ili ajionee kile kitachojiri pale old Trafford[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
NINI MAONI YAKO SHABIKI MWENZANGU