Sosha kaambiwa ajiuzulu ila hataki

Watu mnaroho mbaya sana[emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]
Sisi tuliawaambia mvumilieni mourinho, au yule Moyes wa west ham nyie mkasema sosha ni Sir Alex Ferguson mtupu haya sasa
 
Sisi tuliawaambia mvumilieni mourinho, au yule Moyes wa west ham nyie mkasema sosha ni Sir Alex Ferguson mtupu haya sasa
Mourinho hapana hebu fuatilia matokeo kwenye timu zote anazopitia kwasasa yaani hana jipya hata hao As Roma wanapumulia machine
 
Chanzo cha habari hii ni kipi mzee..

Mkipata ten hag kuna boli moja konki saana mtalipiga pale, luis enrique yes ni kocha mwenye mipango, mtegemee vikombe.
Zizzou nae si haba, japo nina mashaka nae, nina wasiwasi wachezaji walimbeba.
kwani wewe hujui umeipata wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…