FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Huyu kiungo nondo wa Taifa stars na Azam. Hakika anakosa watu wa kucheza Nao tu pale Taifa stars ila ni kiungo mmoja mzuri na mkatili sana.
Sifa zitazomfanya awe CAPTAIN national team ni uwezo wake wa kuongea lugha ya kingereza Kwa ufasaha kiasi tofauti na wachezaji wa SIMBA mfano ZIMBWE alieongea pumba siku wanapigwa 5 na Yanga na BACCA aliyeambiwa URUKE MPIRA na Samata akapiga yeye.
Namuombea azidi ku improve Kila siku na apunguze temper maana atakuja kuwa mtu mzito muhimu sana kwenye team yetu ya TAIFA.
STRONG MAN