Sospeter Bajana ni our future captain wa Taifa Stars

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Huyu kiungo nondo wa Taifa stars na Azam. Hakika anakosa watu wa kucheza Nao tu pale Taifa stars ila ni kiungo mmoja mzuri na mkatili sana.

Sifa zitazomfanya awe CAPTAIN national team ni uwezo wake wa kuongea lugha ya kingereza Kwa ufasaha kiasi tofauti na wachezaji wa SIMBA mfano ZIMBWE alieongea pumba siku wanapigwa 5 na Yanga na BACCA aliyeambiwa URUKE MPIRA na Samata akapiga yeye.

Namuombea azidi ku improve Kila siku na apunguze temper maana atakuja kuwa mtu mzito muhimu sana kwenye team yetu ya TAIFA.

STRONG MAN

 
Mueleze Bajana uliyemkusudia kwa kina.Acha kuonesha chuki zako kwa wengine.Mohamed Hussein Zimbwe hapo kahusika nini na habari hizo?
 
Huyo jamaa anajua mpira shida alipangwa na watu wasioweza kupeleka Timu mbele Kiungo muda wote anacheza pasi na Mwamnyeto Waarabu wameweka watu kati sisi tunamtegemea Bajana peke yake tunategemea nini?
 
Umri umeenda tayari huyo ni kipindi kile anaitwa Bryson Rafael alikuwa mtu sana ila umri umeenda.
 
Wakati mwingene acha kuandika pumba, Samata kwanini amwambie Bacca kwa english aruke mpira wakati wote ni waswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…