Sott Ritter, Mkosoaji wa Sera za Kigeni za Marekani Avamiwa na FBI

Huyu kuna vitu vikubwa anahusika navyo...soma post yako in details..siyo ya hapa Tz ya kuchoma picha ya Rais au kusema msichana amekufa baada ya kuwa raped...
Demokrasia haitaki uhusike na vitu vikubwa?
 
Demokrasia haitaki uhusike na vitu vikubwa?
Inataka uhusike navyo kwa utaratibu maalum, Mfano kama wewe ni foreign agent (wakala wa nchi nyingine mfano wa Russia n.k) Marekani inabidi ujisajili rasmi na utoe taarifa muhumu kulingana na matakwa ya kisheria.
 
Kama sio foreign Agent huna ruhusa ya kukosoa
 
Huyo hakosoi kuhusu Ukraine tu, pia anakosoa kuhusu mazayuni. Iliyowaumiza sana nadhani ni uchambuzi wa shambulizi la Hanniyeh huko Iran.
Hakuna hata anayemjua huko Marekani (he is nobody in US), ni nyie tu Waswahili wanaharakati wa Hamas, Russia na makada wa chama ndiye mnayemfahamu.
 
Hakuna hata anayemjua huko Marekani (he is nobody in US), ni nyie tu Waswahili wanaharakati wa Hamas, Russia na makada wa chama ndiye mnayemfahamu.
Former US MARINE unasema hajulikani?
 
America hawafati sheria hata siku moja hio democracy gani wanayo jisifia ya kumshangilia muwaji kwenye bunge lao afu anawaita wananchi wenu Iran Idiots kuna dharau kama hio.

Huyo Scott Ritter watamheshimu vipi wakati anawapa ukweli wao wamezowea uwongo kama vile democracy yao 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…