mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
hahahaha wanaume wa dsm paruraneni sisi wa mikoani tupo busy na ya msingiKWANI NA WEWE UMENYIMWA KUVAA MASK?
WANAUME WENGINE BWANA SIJUI NI MA MUTANT XXY
Ndio nani?Kama kuchagua brand soud kachagua,anajipa shida muda mwingi kwa kuvaa mask,akitaka kula lazima afunue kofia lake,hivi najiuliza kwenye matukio ya kijamii inakuaje,msiba,kuchimba kaburi,harusi,na kama ameoa alienda na mask ukweni?kama ndiyo basi kamuoa mtoto wa chid benzi[emoji12] [emoji12]
........Mimi nampenda hivohivo na limask lako ila akivua mask, soudy ni handsome[emoji7] [emoji7]
Nasikia alivuliwa kwa amri na wale jamaa waliopita kwenye CCTV camera za klauzi tifi na yeye kutii bila ubishani wowoteKama kuchagua brand soud kachagua,anajipa shida muda mwingi kwa kuvaa mask,akitaka kula lazima afunue kofia lake,hivi najiuliza kwenye matukio ya kijamii inakuaje,msiba,kuchimba kaburi,harusi,na kama ameoa alienda na mask ukweni?kama ndiyo basi kamuoa mtoto wa chid benzi[emoji12] [emoji12]
Mimi nampenda hivohivo na limask lako ila akivua mask, soudy ni handsome[emoji7] [emoji7]
DC wa kigamboniNdio nani?
Aaaaaaa! Naye amezidi! Ni kweli amebuni UTAMBULISHO mzuri akiwa kazini/kipindini. Baada ya hapo, awe anatoka kivingine!!!KWANI NA WEWE UMENYIMWA KUVAA MASK?
WANAUME WENGINE BWANA SIJUI NI MA MUTANT XXY
[emoji17]Mimi nampenda hivohivo na limask lako ila akivua mask, soudy ni handsome[emoji7] [emoji7]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] nn tena cousin[emoji17]
Namepata ka wivu flan hivi had nime angusha glass yangu ya maji hapa[emoji87] [emoji87] [emoji87] nn tena cousin