brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Kivipi?Unajua ESCROW ishaleta balaaa?
By the way, how is Tunda beib?Kivipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]By the way, how is Tunda beib?
Hahahhh kuhusu tunda anajua ila kuhusu escrow hajui kabisa magu kazi anayo kwa tanzania ya viwanda [emoji28][emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwan lile sakata la escrow limerudi tena au??Hahahhh kuhusu tunda anajua ila kuhusu escrow hajui kabisa magu kazi anayo kwa tanzania ya viwanda [emoji28][emoji28]
Hahahhh mfyuuu tanesco wameshindwa kesi wanatakiwa walipe mabilioni uko uingiage ata jukwaa la siasa siku moja moja sio busy na kina tunda tuKwan lile sakata la escrow limerudi tena au??
Duuuuuh, aisee ndio kwaaaanza nakusikia weweHahahhh mfyuuu tanesco wameshindwa kesi wanatakiwa walipe mabilioni uko uingiage ata jukwaa la siasa siku moja moja sio busy na kina tunda tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , tunda poozo la moyo nikimuona nasuuzika sanaHahahhh mfyuuu tanesco wameshindwa kesi wanatakiwa walipe mabilioni uko uingiage ata jukwaa la siasa siku moja moja sio busy na kina tunda tu
Nchi itatekwa usijue shauri yakoDuuuuuh, aisee ndio kwaaaanza nakusikia wewe
Msalimie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , tunda poozo la moyo nikimuona nasuuzika sana
Zishafika usijali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msalimie