Soudy Brown anatudhalilisha Wanaume Dar

Kama anasema ukweli , wacha aseme tuu....

Pili, hiyo ajira yake ambayo inamuweka bussy, na asiwe anakunywa kahawa na kashata vijiweni kama wanaume Wa Dar....
 
utalia machozi wa damu this year... mwenzako yupo kazini anapiga pesa wewe unalia lia.. je wakina joti na mpoki wanavyovaa nguo za kike wakati wanaigiza hiyo imekaaje.. hiyo ni kazi yake sio umbea wa mtandaoni kama wako.. jipime..
 
Ile ni bonge ya segment.... BTW, mbona unamsema mwanaume mwenzako?
 
Sasa unacholalamika nini wakati yule ndio role model wa wanaume wote wa dar ?
 
Siku zote rizki ni.kwa njia yoyote ilmradi iwe ya halali mbona kuna mtangazaj mmoja hivi wa kiume anachamba kwenye media hatareee yaan huyu huwa anajiita babaaa la umbeya
Sasa hapo vepeeeeee
 
Tena yuko pambee sana maana hunikosha mbona kuna watangazaj wa kiume kibao tu wanapiga mipasho,kichambo, na maneno kuntu tena akikuchamba hunywi maji
Lakini ukikutana naye anakua yupo tofaut na studio anakwambia pale alikua kazini
 
You Heard ya Soudy Brown ni segment moja kali sana, jamaa ni mbunifu sana kila mara anakuwa na misemo mipya, kama vile 'mambo yamenifika hapaa' inachoooma kama pasi' 'oyooo nitakupigia nitakupigia noma noma noma' pale anakuwa yupo kikazi tusiichukulie ni mpaka kwenye maisha yake ya kawaida. Keep it up Soudy Brown
 
Ww umelewa pombe ikisha uje umuombe radhi sud hapa
 
Wanaume wa Dar wanauliza sababu za Sudy kufunika uso.

Hiyo ni boshori jombaa,Huko Moshi na Arusha ni kawaida nenda Ngaleloo,kwa mrefu,Daraja mbili,Sinoni,Unga limii,Ndatu,Kilala na Singisi utaona Boshori chala-anguu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…