Soudy brown na Shilawadu jishusheni kwa Diamond jamani mnatia huruma

Mwanaume kufanya kazi ya umbeya hata kama ndo ugali ilaa mmh
 
huu uzi umekaa kishogashoga,wanaume wa dar mnazingua,vungeni bana..
 
Zaidi ya 90% nyuzi zako zinamhusu Dangote Simbaa......utakua kama jina ulilojiita lilivyo
 
Unajua hawaongelei wa Madale na bado unaangalia kipindi.. kweli dunia haiishi vituko..

Kwani wanayoongelea sio ya binadamu pia au?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diamond ngoja atawasajili wasafi TV kesi itakuwa imekwisha
 
kiki zilikuwa wakati wa Wema na Mond...huyo mama mtu mzima na watoto teenagers inaboa
 
Binafsi nawachukia sana watu wanao jishusha shusha! Hiki ndicho kikwazo kikubwa sana kwa sisi ‘wamatumbi’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…