Kuleta huku huo udaku ndiyo umekuza tatizo, achana na page za udaku Suriya wafanye yao ndiyo kazi zao zinazowalipa, maua mwenyewe hawezi hata kukasirika au kumkera ila wewe imekukera
Binafsi naona kama akili zenu zinafanana. Kama anachokiwaza unaona hakina mantiki kwanini uendelee kukisambaza?. "Common sense is not common to every human being"