Si ndo hapo mkuu? Mimi nilishaisahau kabisa.....mara ya mwisho kusikia ilikuwa ni familia ya demu kwenye Ryan Camron show waliposema demu ni bipolar na kwamba alikuwa kaacha kutumia meds alizokuwa anatakiwa kutumia. Kwa nchi zingine nadhani ndio wanaipata sasa hivi...Lol