Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Jun 8, 2017 #1 Hii ni movie ya Kikenya imechukuliwa kwenye mazingira ya Kibera: Nairobi's largest slum. Hii filamu ni nzuri mno. Nimetoka kuiangalia sahivi DSTV. Nimeiona Kibera kwa undani... Natamani bongo movie wafanye kama hawa jamaa walivyofanya..
Hii ni movie ya Kikenya imechukuliwa kwenye mazingira ya Kibera: Nairobi's largest slum. Hii filamu ni nzuri mno. Nimetoka kuiangalia sahivi DSTV. Nimeiona Kibera kwa undani... Natamani bongo movie wafanye kama hawa jamaa walivyofanya..