Wengine hatuwajui picha plz
Kwani haujaona hapo juu picha yao?
Kumbe alikuwa na kitumbo?,watu kwa kupenda kuonja hawajambo.
ana miaka 26 tu,bdo mdogo sema mwiliDina alikuwa hajaolewa siku zote hizo?
mmh wewe ndugu yako mpk umejua umri wake au umeangalia FB a/c yake?ana miaka 26 tu,bdo mdogo sema mwili