sound driver presario c 700

shanature

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,693
Reaction score
1,432
pasipo kujua nimejikuta nimefuta/poteza sound driver za computer angu ni HP-COMPAQ PRESARIO C700,,,,Nili i down grade from vista to window xp,,,,,,,,,,,kuna jamaa mmoja aliniwekea sound driver na nipo mbali nae.........na driver sina,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kwa mwenye ujuzi msaada ,,,,NAOMBA ANISAIDIE NIENDELEE KULA NGOMA KAMA KAWAIDA,,,,,,,,,,,,nimejaribu jaribu nikaona hilo sio level yangu nisaidieni,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Go to Hp Support/Drivers download search yr model name and download...
NB; High speed recommended
 


Jaribu drivers hizi mbili, zinaweza kukusaidia.
1. Realtek AC'97 Driver (Windows 98/Me/2000/XP/2003) - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com
2. SoundMAX Integrated Digital Audio - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com
 

baba mtu nadhani unaweza kuwa unakosea sababu hardware ya sound kwenye HP mara nyingi sio realtek ni connexant kitu kama hicho.

Link unayompa ni sawa sawa kumwambia achukue dereva wa fiat aje aendeshe RAV 4. Anaweza kuendesha lakini................

So kabla hatujamwambia dereva sahihi inabdi atumbie ni gari( Soud hardware) ziko kwenye hiyo mashine.

Anweza kuhakikishakwa ainaya harwarekwa kwenda kwenye Computer mangement nakucheki device Manager. the aangalie sound, etcc

Otherwise kama alivyomshauri mtaalam 1ja hapo juu aende official web ya HP.com

Alternatively ukijua jina la hardware ya sound ni rahisi kusearch kwa jina specific la hardware sikumbuki vizuri lakini nadhani HP ni connexant na sio realtek

Kuna maelezo nimeyaosm net hapa yatakusaidia

 

Mie nlifikiri hii realtek inaweza ni universal sound driver, maaana kuitumia katika kompyuta tofautitofauti na inafanya kazi vizuri tu, ndio maana nikamshauri mdau aitumie.
 
Mh wazee bado sijafanikiwa kula midundo
 
Mh wazee bado sijafanikiwa kula midundo

yaaani wewe watu watu wamekupa ushauri husemi umefanya nini umeshindwa nini unakuja na kusema bado hujafanikiwa.Hujafanikiwa nini.?


  1. Uza hiyo alafu nunua laptop mpya. Au
  2. Install OS upya
Na hapo useme hujafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…