wakuu pc yangu haina sauti ya kutosha kuweza kuckiliza track/movie hata kama volume imeongezwa kwa 100%.Nmejaribu kuadjust sound setting bila mafanikio.tatizo ni mimi au pc yenyewe ndio style yake.natanguliza shukrani.:A S-confused1:
weka mambo vzr, unasikia sauti kwa mbali au hausikiia kabisa? coz kama unasikia hiyo ni issue nyingine wala siyo drivers hiyo ni issue ya device (speaker) jaribu external speaker