Sound of Africa;Album ya Vanny Boy

Sound of Africa;Album ya Vanny Boy

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Nimeipitia hii albumb,binafsi nyimbo mbili au tatu tu ndo nimeziona kidogo ziko vizuri,Zamani, Mama na Lala ft Jux kiasi,..nyingine zote hazina maajabu,watoto wa mjini siku hizi wanaita "utopolo"

Hitimisho:Binafsi EP ya Flowers was the best kuliko hii albumb ya hovyo kabisa tangu kuzaliwa Tanzania,yani haina nyimbo za kubamba ingawa 80 ya nyimbo zote zina mahadhi ya kiafrika (hapa nampa kongole).

List yangu ni hii
1. Twerk ft Vanessa Mdee
2. Lala ft Jux
3. Juu ft Young Lunya.
.........
 
Album mbovu, nimeisikilza mara 3 hakuna maajabu, kuna nyimbo 5 tu za maana, zaman, mama ft saida, waongo ft linex, juu ft jux, na sound of Africa ft jah prayzah
 
Nimeipitia hii albumb,binafsi nyimbo mbili au tatu tu ndo nimeziona kidogo ziko vizuri,Zamani, Mama na Lala ft Jux kiasi,..nyingine zote hazina maajabu,watoto wa mjini siku hizi wanaita "utopolo"

Hitimisho:Binafsi EP ya Flowers was the best kuliko hii albumb ya hovyo kabisa tangu kuzaliwa Tanzania,yani haina nyimbo za kubamba ingawa 80 ya nyimbo zote zina mahadhi ya kiafrika (hapa nampa kongole).

hii zamani nzuri sana,boda boda washainyaka ni makelele tu barabarani
 
Haya mambo ya Album mi sio fan. Nitasubiri itayo trend YouTube naunga tela kusikiliza.
 
Sound of Africa![emoji276]

Jina lenyewe tu ukakasi, tumieni Kiswahili tu wajameni.
 
Ngoma Kali kwangu zipo 14 tu
1:Tingisha
2:Waongo
3:Twerk
4:Seniorita
5:Zuena
6:Zamani
7:Bailando
8:Juju
9:Juu
10:Lala
11:Mama
12:Number1 rmx
13:Bebe
14:Rotate
 
Tupo pamoja mpaka sasa hakuna ngoma hata moja niliyosikiliza wala kujisumbua kuitafuta....itakayo trend tunapita nayo.
Haya mambo ya Album mi sio fan. Nitasubiri itayo trend YouTube naunga tela kusikiliza.
 
Back
Top Bottom