Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
halafu unajiita blogger...SHAMEImba na wewe...
hii zamani nzuri sana,boda boda washainyaka ni makelele tu barabaraniNimeipitia hii albumb,binafsi nyimbo mbili au tatu tu ndo nimeziona kidogo ziko vizuri,Zamani, Mama na Lala ft Jux kiasi,..nyingine zote hazina maajabu,watoto wa mjini siku hizi wanaita "utopolo"
Hitimisho:Binafsi EP ya Flowers was the best kuliko hii albumb ya hovyo kabisa tangu kuzaliwa Tanzania,yani haina nyimbo za kubamba ingawa 80 ya nyimbo zote zina mahadhi ya kiafrika (hapa nampa kongole).
Where s dislike button??Ngoma Kali kwangu zipo 14 tu
1:Tingisha
2:Waongo
3:Twerk
4:Seniorita
5:Zuena
6:Zamani
7:Bailando
8:Juju
9:Juu
10:Lala
11:Mama
12:Number1 rmx
13:Bebe
14:Rotate
Where s dislike button??
Haya mambo ya Album mi sio fan. Nitasubiri itayo trend YouTube naunga tela kusikiliza.