...au pia waweza fuata hatua hizi, fungua my computer,then right click,alafu select properties,itakuja page nyingine, then nenda katika device manager,itakapofunguka angalia ktk alama ya spika au utaona tu alama ya kiulizo ktk device ambazo driver zake hazipo sawa au zinamatatizo utakapoiona click then itashuka chini nenda ktk ya chini alafu right click,hapo itakupa option na ktk hizo options moja wapo ni ku update driver za hiyo device,click hapo!!then utachagua search automaticaly,hapo utakua umemaliza kwasababu yenyewe ita jiupdate,hii inaweza kuwa ni hatua ndefu,lakini pia ni rahisi kwasababu haihitaji wewe kujua manufacture wa pc yako,just yenyewe itaupdate automaticaly:smilez::smilez::smilez: