Soundness of mind to enter into contract

Soundness of mind to enter into contract

Mottoo

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
31
Reaction score
4
Habari za jioni waungwana ,naomba mnisaidie kujibu swali hili. How can the law of contract determine the soundness of mind for the purpose of entering into contract.
 
habari za jion waungwana ,naomba mnisaidie kujibu swali hili. How can the law of contract determine the soundness of mind for the purpose of entering into contract
hujalewa, una umri wa miaka 18 na kuendelea, huna kichaa cha muda mrefu, wala cha muda mfupi.
 
Habari za jion waungwana ,naomba mnisaidie kujibu swali hili. How can the law of contract determine the soundness of mind for the purpose of entering into contract.

Ulisha submit assignment ?
 
mtu mwenye uelewa tu na alie fika miaka 18 nakuendelea ndio anatakiwa kufanya mkataba.....
 
si kweli kwamba mtu mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ndy anayepaswa kusheria kuingia katika mkataba, Lahasha, hata mtu aliyechini ya miaka 18 aweza kuingia katika mkataba katika mazingira fulani. thisis not extrict rule. mazingira haya yaweza kuwa kama, mikataba inyohusu mambo ya msingi kama elimu, chakula, mavazi nk. soma SOGA utaelewa vizuri. asante
 
Kweli.
 
Back
Top Bottom