Source mpya ya kazi guys!!!

papaa-H

Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
74
Reaction score
11
Katika pitapita zangu huku mitaa ya mtandaoni nimekutana na site mpya ambao nao wanaweka latest job posts kutoka kwenye magazeti.
pia nimeipenda coz unaweza kujiwekea job alert ukawa unapata notification ya kazi mpya zikiwekwa direct kwenye Email yako based on your professional. Take a look guys, unaweza kupata kikufaacho huko: its mambopoint.com or click here
Registration may be required.
 

ubarikiwe mkuu, kazi ni kwetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…