Sources of Tanzanian external debts

Duh! Hawa wameirubini nchi kwa Iran.... Watajua Waajemi sio mchezo.
 
Ujinga tu wa wanasiasa wetu ambitious projects zimekuwa lundo kila Rais anaingia na projects zake za kichwani.wanatuingiza hasara sana tumekaa kuwapamba kwa mapambio.
 
Kuna watu wataiamini hii figure,
Kwanza total debt haizidi 5Tilion, while tunadaiwa zaidi ya 60T.
Halafu mbona juzi tu India ilitukopesha 500M USD kwa ajili ya maji na haipo kwenye chati,

Hii figure ni udaku tu wa watu
 
Hawa the Chanzo ni source ya kuaminika ?

Wenyewe wametoa wapi hizi takwimu ?, Kwenye dunia ya sasa ya fake news inabidi habari yako iwe confirmed na source kama sita ambazo ni authentic...
 
Labda hilo deni la india la juzi liko kwenye msimu wa 2020/2021 mkuu
 
Yaani zile nchi ambazo tunaziponda na kuziita za magaidi ndio wametupa ela nyingi .....ile nchi teule cjawai ona msaada wao hpa tz ila ukiisema utashambuliwa na mayahudi wa vingunguti 🙂
 
Ila chanzo cha habari kinamashaka yaani mleta mada kaona ataulizwa chanzo cha hii habari akaona aandike source ni THE CHANZO🙂🙂
 
Kenya inadaiwa hadi na Zanzibar [emoji3][emoji3][emoji3]

Hao Zanzibar ipo siku watawatokea puani, mliwaingiza kwenye huo mkenge wa muungano, kila siku wanazaliwa vizazi vipya visivyoungamana na hizo sounds.....hebu ona hapa wanavyoidai ATCL hela kama yote....
 
Amka utoke kwenye ndoto.
Nakushauri ukiwa kwenye ndoto ukawa na tumbo la kuhara. Tafadhali kemea hilo ni pepo, utajinyea kitandani.
 
Amka utoke kwenye ndoto.
Nakushauri ukiwa kwenye ndoto ukawa na tumbo la kuhara. Tafadhali kemea hilo ni pepo, utajinyea kitandani.

Hehehe!!! Hivi mbona huwa mnawafanyzia hao kwenye hako kakisiwa kao kila wakihoji uhalali wa muungano....
 
Hehehe!!! Hivi mbona huwa mnawafanyzia hao kwenye hako kakisiwa kao kila wakihoji uhalali wa muungano....
Niambie umeusoma ushauri wangu!?
Kuchamba kwingi utaondoka na mavi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…