South Africa Has Shown How a Wise Person Behaves: It's Time For Kenya to Take That Way

Mods tafadhali safisheni huu upuuzi hauhusu Kenya asante Sana.

Teh teh teh tihiii
SERIKALI ya Kenya inabidi iwaase wanahabari wake. igeni mfano mzuri wa Afrika Kusini.
mtoto wako hata kama unampenda vp, akiharibu kwa jirani, lazima umtie nidhamu.
 
Teh teh teh tihiii
SERIKALI ya Kenya inabidi iwaase wanahabari wake. igeni mfano mzuri wa Afrika Kusini.
mtoto wako hata kama unampenda vp, akiharibu kwa jirani, lazima umtie nidhamu.
 
Wakenya msiwe myopic. Tanzania ikipata shida kiuchumi mtaathirika sana. Tunajua utegemezi uliopo Kati yetu. Angalieni gdp yenu na contribution ya agriculture sector, walishaji wa viwanda vyenu na pia soko la bidhaa zenu. Siku zote huwa nawaambia mpo very aggressive ila mpo vipofu sana juu ya athari za uchumi wa jirani kwenye uchumi wenu. Unless mliopo humu wote vilaza. * Geopolitics* is everything. Your about to loose your investment like you did in South Sudan. Mjue kulinda masoko. Shauri yenu.
 
Ingependeza zaidi kama haya maneno yako ungeyakumbuka wakati mlipokuwa mnatuombea tuuane uchaguzi wa 2013 na 2017 pia. Wanafik wakubwa nyie, fanyeni kazi kwa bidii na muache sarakasi na siasa za peni mbili.
 
Unaweza kuleta ushahidi wa sisi kuwaombea muuwane¿.. So hii ni revenge au sio. Mnatuuza
Ingependeza zaidi kama haya maneno yako ungeyakumbuka wakati mlipokuwa mnatuombea tuuane uchaguzi wa 2013 na 2017 pia. Wanafik wakubwa nyie, fanyeni kazi kwa bidii na muache sarakasi na siasa za peni mbili.
f
 
Unaweza kuleta ushahidi wa sisi kuwaombea muuwane¿.. So hii ni revenge au sio. Mnatuuza

f

wakati KIKWETE ndiye aliyefanya muache kukatana na mapanga kama migomba.
nchi zingine shida KWELI.
na bado Uhuru anahitajika the Hague.
 
Anapenda kuongea na watu waliosoma na wenye uelewa wa juu.
I Wonder what he meant when he said 'Kenya to argue her citizens'
 
Unaweza kuleta ushahidi wa sisi kuwaombea muuwane¿.. So hii ni revenge au sio. Mnatuuza f
Nyuzi zipo nyingi sana hata hapa Jf, mkituombea tuuane. Alafu kuna siku umesikia kwamba wakenya tumetia vifaranga vyenu moto au kuuza ng'ombe wenu? Acha kujifanya victim. Kama unaongea kuhusu hizi propaganda za kizuzu kwenye uzi huu, taarifa zilizochapwa photocopy mbovu kwenye kijikaratasi cha A4 kisha ukaambiwa ni page 4 ya Financial Times, sina budi kukueleza kwamba sina huo muda wa kujadili na vibwengo wa kifikra.
 
Anapenda kuongea na watu waliosoma na wenye uelewa wa juu.
I Wonder what he meant when he said 'Kenya to argue her citizens'

Ahaaa haaa haaa
so dat is ONLY ting you noticed in the entire issue.

endelea kukuza uelewa wako ili uweze ujadili hoja na si viroja.

Teh teh teh tihiii
 
polisi wetu ni vichekesho tu,now whats happens kwa wale waliokamatwa zaidi ya watu 20 kabla?je kuna remedy yoyote towards them?ndio maana huyu waziri na wakuu wake wa polisi wangekuwa wapo kwenye nchi zinazojielewa hii wizara ingefilisiwa kwa kesi za madai(wrong arrest)tuache kufanya kazi kwa mazoea !!hii ni karne nyingine sio miaka ya 47 ya kaua baba polisi unaenda na kutia ndani familia yote ya mtuhumiwa.
 
The pompous pundit. Lemme flee

Teh teh teh tihiii
UELEWA siyo kama kimo/urefu wako. unaweza kuongeza kwa kushiriki maongezi na watu WENYE uelewa ZAIDI ya wa kwako. usione wivu au kujisikia VIBAYA kwani unajijengea uwezo, lingine kusafiri jaribu angalau kusafiri mabara matatu hivi, lingine usiache kujisomea vitabu na kufanya tafakuri. usimeze kila unachosoma.
Teh teh teh tihiii
huo ni ushauri TU. mwenye maamuzi ya mwisho ama kuufwata au kutoufwata ni wewe tu.
 
Usinitusi mzee omega kwa facts mi ni mstaarabu sana.
Nani alituliza ule mgogoro wenu ?
Ngoja tusubiri wakati ni hakimu.
Mnafurahia sana wenzenu wanapopata * diplomatic ac
* Vibwengo wa kufikilia*
 
HAMNA MJA MWENYE KIBURI DUNIANI KAMA MSOMI WA KITANZANIA

Teh teh teh tihiii
now i can get yoo true color. ulijifanya mKenya.
Ahaaa haaa haaa

mimi sina kiburi, ila huo ni MTAZAMO wako.
lkn pole kama nimekukwaza janerose mpenzi.
 
Usinitusi mzee omega kwa facts mi ni mstaarabu sana.
Nani alituliza ule mgogoro wenu ?
Ngoja tusubiri wakati ni hakimu.
Mnafurahia sana wenzenu wanapopata * diplomatic ac
* Vibwengo wa kufikilia*
Hasira za nini jombaa, si wewe hapo ndio unaeneza hizi porojo kwamba wakenya ndio wakulaumiwa kwa sababu ya huo ukandamizaji wenu dhidi ya wanahabari? Tena mmoja wa hao wanahabari ni dada yetu ambaye anafanyia kazi shirika ambalo sio la kikenya. Akili zenu mnazielewa nyinyi wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…