South Africa vs England: Rugby WC

South Africa vs England: Rugby WC

MAGO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,278
Reaction score
3,023
Muda mchache ujao hapo SAA 12:00 EAT wawakilishi wa Africa pia mabingwa mara mbili wa dunia wanaenda kumenyana mbavu na England katika fainali hii ya WC.

Usikose mpambano huu kupitia SS1, DStv. Dua zetu kwa wabaguzi SA.
 
S.A kashinda huwa yuko nondo sana kwenye rugby kwa ukanda wetu kenya wako vizuri
 
Leo England wameitwa underdog kwa Springs box
 
Watanzania wengi hawana ujuzi na rugby.Uzi umepoa yani ndo basi tena.Ila rugby ni mchezo mzuri na watanzania wengi wangechangamkia fursa
 
Back
Top Bottom