MAGO JF-Expert Member Joined Mar 8, 2011 Posts 2,278 Reaction score 3,023 Nov 2, 2019 #1 Muda mchache ujao hapo SAA 12:00 EAT wawakilishi wa Africa pia mabingwa mara mbili wa dunia wanaenda kumenyana mbavu na England katika fainali hii ya WC. Usikose mpambano huu kupitia SS1, DStv. Dua zetu kwa wabaguzi SA.
Muda mchache ujao hapo SAA 12:00 EAT wawakilishi wa Africa pia mabingwa mara mbili wa dunia wanaenda kumenyana mbavu na England katika fainali hii ya WC. Usikose mpambano huu kupitia SS1, DStv. Dua zetu kwa wabaguzi SA.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Nov 2, 2019 #2 S.A kashinda huwa yuko nondo sana kwenye rugby kwa ukanda wetu kenya wako vizuri
S sony2 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 2,130 Reaction score 2,413 Nov 2, 2019 #3 Leo England wameitwa underdog kwa Springs box
mikedean JF-Expert Member Joined Mar 15, 2018 Posts 3,267 Reaction score 4,634 Nov 4, 2019 #4 Watanzania wengi hawana ujuzi na rugby.Uzi umepoa yani ndo basi tena.Ila rugby ni mchezo mzuri na watanzania wengi wangechangamkia fursa
Watanzania wengi hawana ujuzi na rugby.Uzi umepoa yani ndo basi tena.Ila rugby ni mchezo mzuri na watanzania wengi wangechangamkia fursa