South Africa vs Kenya! Battle of the Emerging Markets


Bro the rest are marginalised ethnic groups.

Look mwasit off take.

Kumbe unajua mpo namba 3, sijataja Tz Ila umekurupuka mbio just to confirm πŸ€”πŸ€”
Kweli hata R/valley kwa Maasai na Kalenjin, Western kwa waluhya, Taita hills kwa Wataita, Kisii Highlands kwa Wakisii, Nyanza ya Mchele, Meru ya Mirungi, kahawa na chai, Embu ya Mchele, kahawa, majani chai na Mirungi, Hizo zote ni wakikuyu wanaishi na kumiliki mashamba ilhali kabila hizo zingine zote ni wakimbizi pande za Kaskazini na Mashariki mwa Kenya.
You are very bright bro, how did you get to know all this? And do you have any statistics to support it so that I can also get enlightened?
 
If you read carefully you will see that he was bieng sachastic and was pulling your leg, Amekwambia kwamba R/valley, western, Taita, Nyanza huko kote ni wakikuyu ndo wanaishi, na unaamini????


Watch CEO of Lapsset project exlain to yu what its all about











Alafu kama una wakati angalia hii 20min documentary ya maendeleo yanayoletwa na LAPSEET project kutoka Nairobi hadi mji wa moyale ambao unapakana na Ethiopia.


KIlichobaki sasa ni bara bara ya Kuenda kule upande wa Turkana ambayo itagarimu $500m
 

Umejaribu kupinga yale niliyoandika, lkn ukweli ni kuna jamii ndiyo yenye kenya na wengine ni wananchi wa kenya. Hayo maendeleo yanayofanyika maeneo mengine ni kiasi kidogo sana ukilinganisha na mapesa yaliyo mwaga Nairobi miaka yoote.
kama ni uongo muacheni Ruto awe rais.
 
Moi alikua Rais kwa miaka karibia 30, Moi anatoka huko huko eneo la Rift Valley upande wa Nandi!
 
NI kweli
Kabisa wazungu na wahindi Wana sababu ya kusifiwa Sana. Kenya ni kweli kabisa awakuwa na jukumu lolote lile, la kuikomboa afrika. Kenya awakujihusisha kabisa. Africa nzima walisusia makaburu kufanya nao biashara. Kenya awakufanya hivyo. Sasa unataka kutufananisha na hao.
 
Basi nini kilimsibu, na kuacha kujenga kwao? Ha ha ha.
Mtu asiwahi kudanganya eti Rais hupeleka maendeleo kwa watu wake, Huo ni uongo mtupu, Hata hao wakikuyu unasema eti ndo wenye nchi, hata kama wamependelewa kwa mengi tangu kitambo, Hayo mashamba yenye rotuba walikua nayo hata kabla ya Ukoloni,, Wazungu walipokuja ndo wanyakua hayomashamba, ndio maana mwishowe Mau mau wakaanza kupigana na wazungu, hapo mwanzoni lengo la mau mau ilikua ni kuchukua mashambao yao, si eti kupigania uhuru wa nchi, Baadae ndo nchi nzima ilijiunga na mau mau wakaacha kua wanamgambo/magaidi na kuwa freedom fighters...... Alafu Kumbuka pia wako wengi kuliko kabila lolote Kenya kwaahivyo ukiona eti kumeendelea sana, Utakuta ni kama 20% ndo matajiri hao wengine wanaishi tu ki hustler.. Lakini hio 20% ya hao matajiri ni kama 60% ya kabila lengine.... Hata ukienda maeneo ya Kiambu kule kwa kina Kenyatta, Utaona majumba mazuri lakini pia utaona watu wengine wanaishi kwa umaskini....

Anyway, Tuliunda katiba mpya ambayo inalazimu rasilimali zigawanywe kwa kwa haki kila mtu na kila eneo la Kenya.....Hivi ndivyo bajeti za County zinagawanjwa.. Formular ya kugawanya bajeti inaangalia population na pia level ya umaskini, Ukiangalia hapo utaona kati ya County 47, Turkana ni ya pili kwa kupokea bajeti kubwa zaidi.... ikiwa ni Billioni 11.2 Ksh, Kunazo county zengine maskini kama Ambazo haziko hayo maeneo ya 'GEMA' kama Kilifi, Kakamega, Narok, Isiolo, Taita, Marsabit, Migori, Elgeyo... ziko ndani ya top 10 kwa kupokea bajeti kubwa.... sasa kitambo watu walikua wanalalamika wanaonewa na Serekali ya Nairobi, haoTurkana County hio bajeti kubwa wameitumia kufanya nini??? Kilifi 10.8B imepotelea wapi kama si kufujwa?? https://www.jumuiya.co.ke/9-kilifi-county-officials-face-graft-charges/

-----------------------------------------------------


The County Allocation of Revenue Bill 2018, tabled during a special sitting, sets aside Sh15.8 billion for Nairobi.
Lamu, Tharaka Nithi and Elgeyo Marakwet counties have been allocated the lowest share.
SEE ALSO :Senators, CRA set to discuss revenue plan
Kilifi dislodged Turkana with the second highest allocation of Sh10.8 billion.
Turkana is set to receive Sh10.7 billion, up from Sh10 billion.
Mandera will receive Sh10.1 billion - the third highest allocation in the last four years, placing it fifth after Kakamega that has secured Sh10.3 billion, up from Sh 9.7 billion in the current financial year.
Other counties set to receive more funds include Nakuru (Sh9.4 billion), Bungoma (Sh8.9 billion), Kiambu (Sh9.4 billion), Kitui (Sh8.7 billion), Wajir (Sh8.4 billion), Machakos (Sh8.3 billion), Mombasa (Sh8.2 billlion) and Meru (Sh8 billion

Nairobi -15.8
Kilifi - 10.8
Turkana - 10.7
Kakamega - 10.3
Mandera - 10.1
Nakuru - 9.4
Kiambu - 9.4
Bungoma - 8.9
Kitui - 8.7
Wajir 8.4
Machakos - 8.3
Mombasa - 8.2
Meru - 8




Makueni County ambayo haiko ndani ya top 10 kwa bajeti kubwa ndo the best performing county government in Kenya... Wameshafanyikiwa kuanzisha universal health care ambayo matibabu yote ni ya bure, kila mkaazi wa county ako na card ya hospitali ukitibiwa lazima uingie kwa database kwahivyo hakuna nafasi ya mafisadi kutibu watu ambao hawako kwa system...

Hata juzi hospitali waliojenga huko makueni imefanya the first complete knee replacement sugery in makueni public hospital, na hospitali yenyewe ilijengwa kwa only 130 million.



Having spent over Ksh 130 million to establish one of the best health facility in Makueni county, Governor Kibutha Kibwana is elated to see his efforts to serve his county men and women pay off.

The good news came barely hours after the county bagged two awards in the first annual Quality Healthcare Kenyan Awards Gala after being voted as the best county in healthcare management. A few days to the annual Awards Gala, the county government had moved a notch higher in provision of health services to its residents by introducing a telemedicine health programme. The initiative will use telecommunication infrastructure to link patients from remote health centres with doctors based at the county referral hospital. The governor who was named in the Auditor General's report as one the best performing governors with a clean financial record, continues to set the bar higher for other counties. The county boss has also often stood out as the most humble and hardworking governor, an attribute that has made him very admirable to the common mwananchi. Read more:


-------------------

Sasa kama Makueni inayopata bajeti ndogo kushinda hizo county top 10 inafanyikiwa kua best performing county ambapo pesa haziibiwi na wakaazi wanapata maendeleo, Hao Turkana ambao wako marginalized siku zote, hizo 10 Billion wamefanya nini ???
 
Nice, somebody is getting schooled around here. I just hope they are as receptive as me when it comes to learning new stuff.
 
JFCRA wanalalamika sana. Mnaombwa muandike short comments.. na ziwe sweet πŸ˜ƒπŸ’žπŸ˜πŸ˜˜ too
 
Great explanation. Bongolalas are very ignorant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…