South Africa vs Spain June 28 '09

hivi ni maskio yangu tu au ni kweli yule booth (mzungu) wa south africa kila akigusa mpira nasikia kama wanamzomea au ni mimi tu.goaaal
 
Goooooooooaaaaaaaaaaaaaaallll


SA 2 - Spain 2
 
Safi sana Afrika kusini
Afrika Kusini 2 Hispania 2
 
Full time,

SA 2 - Spain 2.

Extra time sasa
 
Tusubiri dakika 30 za nyongeza,RSA wamecheza vizuri sana leo,wanastahili pongezi
 
hivi yule kipa wa south africa anadakia timu gani? manake jamaa noma na kama anachezwa timu ya south afric nina huakika atakula maisha europe summer hii.
Jamaa ni mzuri sana yaani,anadakia Kaizer Chiefs
 
Najisikia kukata tamaa, bado sekunde kadhaa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…