Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
akitumia mkuyati?😀I cant imagine this!
Sisi tulio na mmoja mara mingi tu unakuta uko choka mbaya na hutaki dudu ya mtu!
Sasa wa4, tena wengine miaka 20, si ni hatari hii?
Hapo kuibiwa ni jadi!
akitumia mkuyati?😀
he he he! atakuwa anaweka kwenye chai,lunchi na dinna!😀Piga mahesabu mkuyati aka Dr Manyuki aka Viagra atatumia mara ngapi? Mfano hao wa 20s wanataka at least 4 times a week, wako wanne. Kwahiyo he has to deliver at least 16 times a week an average of 2 times a day. Hapo bado mamsapu mkubwa. Basi Mkuyati ndio itakuwa chakula chake na siku si nyingi itam- Abiola!!!!!