South Africa's Western Cape declares drought disaster

Mnakumbushiwa tu kwamba majanga ya ukame ni jambo la kawaida hata kwa hao mabwana zenu SA. Kila mkisikia janga la ukame Kenya huwa mnatiririka huku mkishabikia hadi uzi unafikia kurasa ishirini.
Tukiongele Kenya tunaonge moja kwa moja na waKenya, sio nyinyi shida za SA mna mropokea Tanzania. Sasa na sisi tuwalaumu shida za South Sudan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…