jac salum
Senior Member
- Mar 23, 2017
- 183
- 129
Timu za taifa za ulaya nyingi ni vibonde maji.
Group la Portugal.
1.Switzerland
2.Portagal
3.Hungry
4.Faroe Islands
5.Andorra.
6.Letvia.
CR 7 anawafunga sana hawa ndio maana ana goli nyingi sana International, bara lao limejaa maboya. Ranks za Fifa hizo timu zimezidiwa na Taifa Stars[emoji16][emoji16], Cr 7 apige na wale Chile aone !!!![emoji5][emoji5]