Jamaa alikua anasubiria penaiti ya mwisho ashangilie ionekane amelibeba taifa. Jamaa ananyota nzuri sana. Hata akiwa anashangilia anakuaga Man of the Match ; mf: Final: Ureno vs France. , Msimu uliosha kang'ara mechi 5 tu anapewa Balloon D'orDaah so sad nimehuzunika sana leo ureno kutolewa kwa penalti...tena 3-0
Daah ndio hivyo tena bahati haikuwa yake leo [HASHTAG]#CR7[/HASHTAG]Jamaa alikua anasubiria penaiti ya mwisho ashangilie ionekane amelibeba taifa. Jamaa ananyota nzuri sana. Hata akiwa anashangilia anakuaga Man of the Match ; mf: Final: Ureno vs France. , Msimu uliosha kang'ara mechi 5 tu anapewa Balloon D'or
hahaha
Kumbe Ureno katolewa kwa matuta...!Daah so sad nimehuzunika sana leo ureno kutolewa kwa penalti...tena 3-0
ndio asee..claudio bravo alipangua penalt zoteKumbe Ureno katolewa kwa matuta...!
Viwango vya fifa13 kwenye nini?