South organisers Tunduma border, Mlowo & Vwawa Songwe

South organisers Tunduma border, Mlowo & Vwawa Songwe

Ben baba

Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
69
Reaction score
34
Wasalaaam ndugu zangu
Moja kwa moja Kwenye kilichonileta hapa,
Ni kuwapa taarifa hii ndugu zangu
ufikapo Songwe(Vwawa,Mlowo,Mpemba,Tunduma,mkwajuni,Saza n.k)

Tunakurahisishia kupata huduma yoyote ufikapo maeneo Haya.
Huduma hizo ni:

1. Tunafanya clearing and forwarding Border ya Tunduma ( kuvusha magari kwenda Zambia Na maeneo mengi ya Drc Congo, Zimbabwe Na South Africa,na pia kupakilisha magari yanayorud bila mizigo aidha copper au mazao.

2. Tunao mafundi wa magari makubwa Yaan Fundi Upepo(ABS),umeme,injini(mechanics,pia tunasambaza spare ( Scania,Man,Daf,volvo,iveco,staris,Howo,Faw n. K)

3. Tunakodisha magari kwa ajili ya Tour, Harusi,Utalii Na safari binafsi aidha Gari la kifahari au la kawaida

4. Pia kwa mtu anayehitaji kuwekeza Kwenye ardhi au dhahabu Wilayani songwe (saza,matanda,six,mbugan,kambuyu,614,Gua,Ngwala n.k.)
Kupanga Na kupangisha karibuni

Pia ushauri kuhusu shughuli tajwa hapo juu karibuni Sana
Kuhusu border ni Tunduma, Isongole,na kasumulu kyela.

Karibuni Sana ndugu zetu pia kwa mgen kuorder hotel au lodge au chochote unaweza kubook kwetu
mawasiliano ni
+255 758 502 366
email :jshilonde@gmail.com
 
Back
Top Bottom