Nassib Sanga
Senior Member
- Aug 11, 2012
- 170
- 114
Mkuu ushajaribu kufanya nini?Wadhulumati balaa!jaribu uone.Hata ukienda serikalini kwao kushtaki hawaogopi
Mkuu nasibu habari za siku nyingiJana nimeangalia television kikao cha EAC na nimeona South Sudan imekuwa admitted katika jumuiya yetu ya Afrika Mashariki. Nadhani hii inaweza kuwa nafasi kwa wafanyabiashara kupeleka vitu kule maana South Sudan almost wanahitaji kila kitu.
Salama kaka. Mkuu sijakufahamuMkuu nasibu habari za siku nyingi