South Sudan kwa kikosi chao wataipa changamoto timu ya Taifa Stars katika CECAFA U20

South Sudan kwa kikosi chao wataipa changamoto timu ya Taifa Stars katika CECAFA U20

Cvez

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2018
Posts
4,405
Reaction score
13,411
Screenshot_2020-11-27-18-21-28.png

Hawa jamaa ni hatari na wanawapa watangazaji wetu katika wakati mgumu kutangaza magoli. Hasa hao wafungaji wawili wa mwanzoni.
 
Ili tufuzu afcon tunapaswa kufika hatua gani kwenye haya mashindano?
 
Back
Top Bottom