Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,405 Reaction score 13,411 Nov 27, 2020 #1 Hawa jamaa ni hatari na wanawapa watangazaji wetu katika wakati mgumu kutangaza magoli. Hasa hao wafungaji wawili wa mwanzoni.
Hawa jamaa ni hatari na wanawapa watangazaji wetu katika wakati mgumu kutangaza magoli. Hasa hao wafungaji wawili wa mwanzoni.
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Nov 27, 2020 #2 Kawaida tu
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Nov 27, 2020 #3 Goli la kwanza KUNDU, la pili ATARI.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Nov 28, 2020 #4 Ili tufuzu afcon tunapaswa kufika hatua gani kwenye haya mashindano?
Kusaja Senior Member Joined Oct 28, 2012 Posts 114 Reaction score 42 Nov 28, 2020 #5 Tukifika Final ndo tunafuzu afcon nguvu said: Ili tufuzu afcon tunapaswa kufika hatua gani kwenye haya mashindano Click to expand...
Tukifika Final ndo tunafuzu afcon nguvu said: Ili tufuzu afcon tunapaswa kufika hatua gani kwenye haya mashindano Click to expand...
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 9,872 Reaction score 16,319 Nov 28, 2020 #6 Leo tanzania anacheza?
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 10,677 Reaction score 11,768 Nov 28, 2020 #7 makaveli10 said: Goli la kwanza KUNDU, la pili ATARI. Click to expand... Nilidhani nimeona peke yangu!
makaveli10 said: Goli la kwanza KUNDU, la pili ATARI. Click to expand... Nilidhani nimeona peke yangu!
W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Nov 28, 2020 #8 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Paul C Masunga New Member Joined Nov 27, 2020 Posts 3 Reaction score 0 Nov 28, 2020 #9 Dah, Kundu????
Paul C Masunga New Member Joined Nov 27, 2020 Posts 3 Reaction score 0 Nov 28, 2020 #10 Vijana wetu wapo vizuri sana asee