Southampton Special Thread

Southampton Special Thread

Sodium

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
754
Reaction score
404
Team ambayo inafanya vizuri EPL washibiki wa team hii tukutane hapa.
 
Team ambayo inafanya vizuri EPL washibiki wa team hii tukutane hapa.
najua imeifunga man u na kuishusha nafasi ya 4 na yenyewe kupanda nafasi ya 3...je hiyo ndo sababu ya kufungua hii special thread!!
 
Team ambayo inafanya vizuri EPL washibiki wa team hii tukutane hapa.

Niombee Arsenal iendelee kufanya vibaya labda ntahamia uko....nimechoka kunywa bia kabla ya kuiangalia Arsenal...they so unpredictable...leo wanashinda mechi zijazo wanatunguliwa kama Mgambo FC....
 
Team ambayo inafanya vizuri EPL washibiki wa team hii tukutane hapa.

Utapaje mda wa kushabika timu ambayo mda wowote inashuku daraja.

washabiki wa timu hii nawashauri muhamie chelsea haraka na kwamwe hamtajuta maamuzi yenu.
 
Kwanza ukiweka special thread weka picha na kahistoria kidogo
 
Washabiki wa man u siyo sehemu yenu hapa.
 
Naona umeieweka hii kiboko ya vigogo kutuumiza roho. Je ni kweli inafanya vizuri?
 
Inafanya vizuri aise ndo maana tuko nafasi ya tatu
ELIA&WANYAMA
 
Mdogo mdogo tutachukuwa ata ubingwa😛😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom