najua imeifunga man u na kuishusha nafasi ya 4 na yenyewe kupanda nafasi ya 3...je hiyo ndo sababu ya kufungua hii special thread!!Team ambayo inafanya vizuri EPL washibiki wa team hii tukutane hapa.
Team ambayo inafanya vizuri EPL washibiki wa team hii tukutane hapa.
Team ambayo inafanya vizuri EPL washibiki wa team hii tukutane hapa.
Taratibu tunainyatia nafasi ya pili
jana izuma niliombea mfungwe