Southern Tanzania.. ukanda uliojaliwa vipaji vingi vya hiphop

Southern Tanzania.. ukanda uliojaliwa vipaji vingi vya hiphop

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
1,944
Reaction score
1,726
#Happynyerereday to everyone
Kwa hapa Tanzania tumebarikiwa vipaji vingi sana vya Wana muziki tofauti tofauti ...lakini mada hii imejikita kwa upande wa hip-hop

Ukanda wa kusini Tanzania especially songea ndipo wanapotoka wakali Hawa

1) Sugu
2) Prof j
3) Black rhino
4) Albert mangwea
5) Godzilla
6) Stereo

Pia kwa mikoa ya Lindi na mtwara
1) Jay moe
2) Juma nature ( Rap katuni)

Mbeya na iringa
1) Ay
2) Izo business
3) Young dee
4) Geez mabovu
5) Azma mponda
6) P the mc (mawenge)
7) Chidbenz ( mama ake kiasili ni mtu wa iringa)

Note: me ni mtu wa kaskazini but kwenye ukweli tuseme ukweli
Kwa hapa bongo hip-hop iko kusini......
 
mwanazuoni mgeni, mmmmh yan mtu amezaliwa Dar amekulia Dar amesoma Dar
mbeya anaisikia tu Afu useme ni kipaji toka Mbeya or kusini...?
amewaza vvibaya mwanangu ebu tulia vzuri then rudi na uzi unaoeleweka
Tambua me ni mtoto wa mbeya ndipo nlipo zaliwa na ndipo nlipokulia na sioni kama kuna dalili ya kutoka hapa ntaenda kote ila hapa ntarudi tu napakubali sana
 
Back
Top Bottom