mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
Kwenye ukweli tuweke ukweli kusini wamebarikiwa sana upande wa hip-hop hamna sababu ya kuficha ukweliBinadamu wa kwanza wa kanda za kaskazini mwa TZ kutokuwa na chembe chembe za ukabila [emoji119][emoji87]
1. Geez Mabovu
2. King Zilla
Napenda saaaaana kazi zao.