Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mimi, Mume wangu hua anavaa chupi yangu wakati nikiwa nimesafiri.
:fencing:Duh! hii kiboko....
Sasa anaivaa muda wote au akienda kulala?
Souvenir
souvenir!Nashindwa kuelewa kwa nini mtu abakie na
Umejaribu kumkagua kinyeo chake? Angalia asije akawa si rizki...!:confused2::confused2:Mimi, Mume wangu hua anavaa chupi yangu wakati nikiwa nimesafiri.
hahahaha kwa kweli kufikia kuvaa chupi ya mkeo lazima upstairs kuwe na uwalakini......Umejaribu kumkagua kinyeo chake? Angalia asije akawa si rizki...!:confused2::confused2:
mimi, mume wangu hua anavaa chupi yangu wakati nikiwa nimesafiri.
Umejaribu kucheki uhusiano wake na mabeberu?Kuna rafki yangu huwa anapenda kubaki na nguo ya ndani ya mpenzi wake na kila anapom'miss huwa anainusa ile nguo.
Hujiskia burudaani.
kha!
Kuna baadhi ya watu wanaopenda kubakia na vitu vya wenzi wao ikiwa kama hao wenzi wao hawaishi nao. Eti vitu hivi huwa vinawakumbusha kuhusu hao wenzi wao na huko waliko
Sasa kitu ambacho nimesikia kwa sasa kutoka kwa watu mbalimbali ni kwamba wanaume ndio wanaopenda kubakia na hizo nguo za ndani (underwear) za mwanamke wanaye "do" naye.
Nashindwa kuelewa kwa nini mtu abakie na chupi ya mtu mwingine kama ukumbusho. Wengine hupendelea kubakia na sidiria, gagulo, na kuna wanaopenda kubaki na mikufu, kitambaa cha kichwani, hadi viatu na pete.
Wadau vipi yameshawakuta na ninyi haya?

Kuna rafki yangu huwa anapenda kubaki na nguo ya ndani ya mpenzi wake na kila anapom'miss huwa anainusa ile nguo.
Hujiskia burudaani.
kha!